Tahadhari gani za kuchukua Kwa mtu mwenye HIV?

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Hivi ni tahadhari gani za kuchukua ukiondoa kuvaa condom kwa mtu mwenye HIV wakati wa kumla?

Dr Tito
 
Kwanza unatakiwa ufaham njia za kuambukizwa ili uweze kujikinga

Ukiacha hiyo pia lazima uangalie kama hana vidonda au michubuko yoyote kati yenu

Lakini zaidi mnakua mnaambiwa kwenye vituo vya vitengo huko hua wanatoa elim kama umekumban na case kama hii
 
Nani kakwambia ukimwi unaambukizwa? Uko zama gani wewe??
 
Ujinga ni huu ;---

Unavaa kondom,, wakati unamla mate nahujijui km nyote mnavidonda mdomon au lah.[emoji23]

Ujinga wapili nhuu ,,, Unavaa kondom wakati unamlazima akunyonye mbooo kwanzaa[emoji23][emoji23]

Ujinga watatu nihuu,, unavaa kondomu wakati unataka kunyonya matiti yake nahujijui km mdomon unatuvimchubuko ulivipata wakat unapiga mswaki.[emoji23][emoji23][emoji23]

Ujinga Wa NNE ...nihuuu...
Unavaa kondom ,,wakati unatumia kidole chako kuzitafuta spot za K naunasahau kidolen unamchubuko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ujinga Wa tano,,, umeshajihakikishia hauna mchubuko wowote nauvaa kondomu , ila sababu uliogopa haya kumwandaa kondomu inapasuka ,,alafu unaanza kulia lia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga Wa Mwisho nihuuu.

Unaakili kabisaa ,, umeshajua kaungua ,lakini bado Mbooo inadinda ??? Daaaaha kweli duniani kuna watu majasiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Aiseeee sio lazima umle ,,kwann usitafute njia mbadala ya kumridhisha na nyote mkafurahi ???.
 
Asante mkuu.
Wengi wanashindwa kuelewa jinsi ya kufanya tendo kwa usalama.
Wanafikiri ukivaa kondom ndio umemaliza kila kitu.
Mimi naongezea jambo moja kati ya hayo.
1. Usifanye mapenzi na mwanamke usiye mjua hali yakuwa Umelewa Pombe au kilevi chochote.
2. Kondom pekee haisaidii bila kujiepusha na matendo mengine wakati wa tendo.
3. Ukiona mwanamke au mwanaume wakati wa tendo anakuambia gusa hapa, nyonya pale, vua kondom, nibusu mdomoni au ulimini, nk.
Chukua tahadhali ikiwezekana acha hilo tendo kwani ana nia ya kukuambukiza UKIMWI kwa makusudi.
Kuna watu wanaambukiza ukimwi kwa makusudi, mtawajua kwa hizo tabia.
Jihadhalini.
 
Nikweli kabisa mkuu ...umakini unahitajika sanaaa.
 
Hiyo namba tatu si kwamba anakupa maelekezo kwenye maeneo yenye msisimko kwake?
 
Hiyo namba tatu si kwamba anakupa maelekezo kwenye maeneo yenye msisimko kwake?
Sasa unajikingaje na hayo maeneo ambayo yana msisimko kwake ?
Mwanamke au mwanamme makini anayejikinga hataki kabisa uguse maeneo yake ambayo yako wazi wakati wa tendo.
Ni lazima kujilinda na sehemu nyingine ambukizi.
Ukimwi hauambukizwi na sehemu za uchi pekee, bali hata mdomoni, kwenye chuchu, na eneo lingine la wazi ambalo alivaliki kondom.

Ikibidi itengenezwe kundom ya kuvaa mwili mzuma kuanzia vidoleni hadi mdomoni na kichwani mtu ajifunike wayote funi kabisa.
Ukimwi unaambukizwa hata kwa kumpapasa mtu kwenye ngozi yake ya sehemu yotote ile, bila kujikinga.

Ndio maana wataalamu wa afya wanatumia gloves mda wote wanapohitaji kumgusa mgonjwa.
 
Bado maelezo hayahalalishi kwamba ukiambiwa uguse au ushike sehemu fulani kwamba ni muathirika na anataka akuambukize.
 
Kwa wale tu, wenye maambukizi ya Virusi vya ukimwi.
Watu wanasema silaha yoyote itumike kupambana na huu ugonjwa na hakutakiwi kukatishwa na tamaa kama uhai bado upo.

Hebu tuangalie hapa, wengi wamepona na hii huduma, fuata hizi hatua.
1. Weka bando la untaneti
2. Fungua yuotube video
3. Fungua website kwa kuandika, '"scoan hiv healing servise"
4. Sachi ijifungue na angalia hizo video zake.
Wengi wamepona kwa huduma hii nakuhakikishia nawe jaribu kuifuata hakika utapona.
Hata wenye kansa hatari wamepona angalia kwenye
"scoan Ulcers healing service"
Pata mda wa kuangalia hizo video bila hali ya ubishi wa Imani.

Mungu amemjaalia Mchungaji TB Joshua kipawa kikubwa cha maombezi kama cha wachungaji wengine.
Kanisa lake liko mji wa Lagos, nchini Nigeria, nauli ya kwenda na kurudi ni shilingi milioni mbili tu. Kula na kulala ni bure kwa mda wa wiki moja.
Viongozi wetu wanamtumia sana huyu Mtumishi.
Hata Raisi wetu alimwalika ili kumwombea yeye na Mheshimiwa Lowassa, mara baada ya kuchaguliwa kuwa Raisi wa Tanzania na alikuja.
Viongozi wengi wanamtumia huyu mtumishi na wanapata haja zao.
Hiyo Silaha nimewapa bure kabisa ijaribuni wandugu tuache Siasa hapa tena.
Ni jambo moja tu "tunahitaji kupona"
Na
Wahenga walisema

"Mgonjwa hachagui dawa wala aina ya matibabu, anachohitaji ni kupona tu basi"
Yesu alimfufua Lazaro na binti Yairo waliokuwa wamekufa na kuoza kabisa.
Hakika hashindwi kuponya Ukimwi, kinachotakiwa ni kumfuata anapojitokeza kwa nguvu kubwa.
Hata Waisraeli walipokuwa wanakufa kwa kugongwa na Nyoka walimfuara Musa ili amwombe Mungu awaponye na Sumu ya nyoka na walipona hakika.
Naandika hivyo kwa upendo wangu mkubwa kwenu nyote.
Na hasa kwa wake wanaoteseka makali ya Ukimwi.
Amina kwenu nyote.
 

Amina
 

Yesu Yesu. Mna matatizo sana nyie aisee.
 
Nahisi wewe ni TB Joshua mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…