Tahadhari: Haribu Stakabadhi ya ATM baada ya kuitumia

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124


Unashauriwa kuharibu kwakuwa inaonesha jina la Benki, Namba nne za mwisho za namba ya Akaunti, kiasi kilichotolewa na kilichobaki.

Taarifa hizo zikifika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuunganisha na taarifa nyingine na kufanya ulaghai kupitia wewe.
 
Upvote 3
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…