jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Hawa TALA bado wanaendelea kuwaibia watu tena kwakutumia clip za wasanii maarufu ...baya zaidi wana dai pesa utatumiwa online ... mamlaka husika haiwezi kamata hawa watu?? ...mbona vitu vingine ni rahisi kuvifuatilia mfano mikutano ya ndani ya vyama pinzani kwanini jambo ovu kama hili wasilifuatilie ...inasikitisha sana