jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Yani ni wizi wa wazi wazi kabisa ... eti utalipia dhamana ya kiwango flani cha pesaKwanini uibiwe kiboya ivo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni video fupi ya billnass ...tala wana tumia kwenye matangazo yao kuwaibia watuYaani msanii anahamasisha watu wakope, walipe deni la TALA au anawaambia watu watume pesa ili wapate mkopo?
We jamaa tala gani wanatumia hzo clip, tala Wana uwezo wa kukupa pesa zote hzo , alaf wanakwambia watakutumia online baada ya wewe kuwapa nini , mpak unahs unaibiwa , tala washafunga ofsi zao bongo na tangazo walitoa publicHiyo ni video fupi ya billnass ...tala wana tumia kwenye matangazo yao kuwaibia watu
We jamaa tala gani wanatumia hzo clip , tala Wana uwezo wa kukupa pesa zote hzo , alaf wanakwambia watakutumia online baada ya wewe kuwapa nini , mpak unahs unaibiwa , tala washafunga ofsi zao bongo na tangazo walitoa public
Kwahiyo wanawaaminisha watu kuwa Bilnasi kashika pesa za Tala ili aanze kugawa.Hiyo ni video fupi ya billnass ...tala wana tumia kwenye matangazo yao kuwaibia watu
Ndiyo kaka sema kuna wajinga bado watakuja hapa kulia lia kuwa wameibiwa na talaKwahiyo wanawaaminisha watu kuwa Bilnasi kashika pesa za Tala ili aanze kugawa.
Sema dunia imejaa watu wajinga ambao akili zao haziwezi kuhoji