Tahadhari: JIHADHARI NA WACHUMBA WA MAKANISANI

Sasa kama wewe hukufunga na kumuomba Mungu akupe mke mwama unategemea nini? hata huyu wa pili unayemtafuta kama hutamshirikisha Mumbgu utauingia mkenge vilevile, kwani maandiko yanasema mtu mali hupewa na babaye ila mke mwema hupewa na Mungu, huyo hakuwa mke mwema kaka, pole!!Piga mafungo siku tisa wache Mungu akuonyeshe mkeo. Shetani aliachiwa kwenda kila mahali kutafuta wafuasi, kwa hiyo usijiamini peke yako hutaweza bila kumshirikisha Mungu. Pole kwa yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…