Tahadhari kabla ya hatari

Tahadhari kabla ya hatari

Ortommy Ali

New Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Mgomo wa walimu una madhara ya huko mbeleni ila serekali haitambui hili. Kwa mfano; waalimu waanze kudanganya wanafunzi kuwa raisi wa kwanza wa nchi ni mrisho mpoto, mtoto atakua akifahamu hilo tu na matokeo yataonekana pale ambapo wanafunzi asilimia kubwa watafeli.
 
Safi sana,umenipa wazo.Narudi kufundisha(kudanganya)
 
Back
Top Bottom