silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
Tutasikia raisi msaidizi wa Dar ametumbuliwa.
Wasiliana na mod warekebishe kichwa, waite Bashite day.Uzi utakuwa mtamuAsije mtu akaingizwa chaka bure, kwa kweli huu ujinga wa wazungu si wakushabikia hata kidogo. Uongo ni uongo tu na si jambo la kufanyiwa mzaha. Nakumbuka mwaka juzi Redio Zanzibar ilitangaza kuwa itagawa mchele bure, masikini ya Mungu wakajazana studio, kufika wanaambiwa leo ni siku ya Wajinga, it was soo painfulll!!!!!!
Asije mtu akaingizwa chaka bure, kwa kweli huu ujinga wa wazungu si wakushabikia hata kidogo. Uongo ni uongo tu na si jambo la kufanyiwa mzaha. Nakumbuka mwaka juzi Redio Zanzibar ilitangaza kuwa itagawa mchele bure, masikini ya Mungu wakajazana studio, kufika wanaambiwa leo ni siku ya Wajinga, it was soo painfulll!!!!!![/QUOTE
Yaani hizi habari za kuiga zimepamba moto miaka ya hivi karibuni,kuna hiia "April Fools" na "Valentine Day".
Utakuta watu wanafanya maandalizi ya kutosha kusubiri tarehe hizi, wanakuwa na mihemko ya ajabu ajabu kiasi unashindwa kuelewa tatizo ni nini? Je ni ulimbukeni wetu wakuiga kila kitu ama ni ulewa mbaya?
Nawatahadharisha Watanzania tuache kuiga kila jambo si vizuri.
hawana adabu wanaweza wakasema kweliTutasikia raisi msaidizi wa Dar ametumbuliwa.
mwisho saa 4 nasikiaWasiliana na mod warekebishe kichwa, waite Bashite day.Uzi utakuwa mtamu
Redio Zanzibar au Sauti ya Tanzania Zanzibar (S.T.Z) na ni redio ya SMZ. walitangaza watagawa mchele bure. sasa kipindi kile hakukua na social media kama sasa kwa hiyo watu wengi hawakujua kama ni April foolHiyo ilikuwa radio gani.. Mbona walifanya upuuzi sana.