Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Neno " Fariji" kwa kiarabu halijakaa vemaMaana mbaya ipi hiyo
Sasa hapa Uarabuni,?Neno " Fariji" kwa kiarabu halijakaa vema
Hiyo bangi walikuuzia shilingi ngapi?Au umetumia dola?Wadau wote hamjamboni
Niwatahadharishe
Ni makosa makubwa kutumia neno " Farijika" kwani iinaleta maana mbaya
Tumia Neno " Farajika" au "nimepata faraja"
Aksanteni
Akikujibu Ni-Tag please!Maana mbaya ipi hiyo
Sasa kiarabu na Tz vinahusiana vipi mkuuNeno " Fariji" kwa kiarabu halijakaa vema
Mtakuwa waswahili wa milimani kule!Huku tunasema nimefalajika
Kwa kiswahili limekaa vyema kama jina Mboro lilivyokaa vyema kwa wachaga na hata kwa kiarabu halina tatizo.Neno " Fariji" kwa kiarabu halijakaa vema
Ku.ma kwa kilingala ni moyo kwa hiyo nao waache kutumia hilo neno?Wadau wote hamjamboni
Niwatahadharishe
Ni makosa makubwa kutumia neno " Farijika" kwani linaleta maana mbaya
Tumia Neno " Farajika" au "nimepata faraja"
Aksanteni
Motema ni nini mkuu?Ku.ma kwa kilingala ni moyo kwa hiyo nao waache kutumia hilo neno?