Ngida1
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 586
- 206
Wakati mwengine hapa ukumbini watu wanaitana wajinga. Ni lazima tujue kuwa kumwambia hivyo mwenzio anaweza kukushitaki, kwani hilo ni kosa la jinai.
"Na shitaka la nne ambalo linamkabili Sheikh Azzan Khalid (wa Uamsho) peke yake ni kufanya kitendo kinachoweza kuleta uvunjifu wa amani, pamoja na kumtolea maneno ya kashfa na matusi Kamishna wa Polisi wa Zanzibar. Matusi hayo ya Sheikh Azzan ilidaiwa kuwa alimwambia Kamishna huyo kuwa mjinga, jambo ambalo mahakama ilidaiwa kuwa lingeliweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini."
Kumwambia Kamishna mjinga vipi amani itavunjika nchini? Huu sio uwongo jamani? Huku sio kumtafutia mtu kosa bure bure?
Anyway, ndio nchi yetu!
ZANZIBAR NI KWETU: Mawakili wa UAMSHO wazidi kulalamika huku wateja warejeshwa rumande!
/Ngida1