TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Wee ni Nani?

Hujajitambulisha
 
Wasalaam jf
Nina tatizo la a count yangu ya jf sipati notification ya either ringtone au ile icon ya kwenye screen kuonyesha kama kuna mtu kani QUOTE au LIKE au PM sipati any notification.

Only kwenye JF tu.
Naombeni msaada tafadhali
 
Wasalaam jf
Nina tatizo la a count yangu ya jf sipati notification ya either ringtone au ile icon ya kwenye screen kuonyesha kama kuna mtu kani QUOTE au LIKE au PM sipati any notification.

Only kwenye JF tu.
Naombeni msaada tafadhali
Tuko wengi nami pia ntfctn sizipsti paka niinvie kwa app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga ndio waliwao hivi unaanzaje kumuamini mtu usiyemjua tena kwenye pesa

Mimi humu nimeshanunua Tv katika uzi wa Tv na nilikabidhi pesa baada ya kupokea hiyo tv
Pia nilinunua gari kwenye ule uzi wa magari mazuri mazuri na pesa tulikabidhiana benki baada ya kufanya taratibu zote na kuiona gari tena kilikuwa kitendo cha siku moja tu


Sasa nashangaa kusikia watu wanatapeliwa, ingawa inabidi lifanyiwe kazi kwa kuwataja wale matapeli
 
Mkuu Salam.

Mwl.RCT amenitapeli zaidi ya laki 5 na nusu kupitia huu uzi wake kwa kisingizio cha korona, na hajanirudishia refund.
Cha ajabu mnauachia huu uzi wake Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa uendelee, na kuna watu kadhaa nimeona wakimlalamikia.

Ninaomba mumchukulie hatua hata kwa kuufungia huo uzi,.

Asante
 
Mimi ninachotaka ni refund ya hela uliyopata. Kwanini hunilipi na kwanini umeniblock?

Tapeli yeyote anaweza weka au kujifichia kwenye hizo link.

Na mbona hukunijulisha kwa email au simu kama kuna hilo tatizo mpaka nilivyaanza kukuanika humu?!
 
Miez 3 gb 85 dk 5,400 miez 6 gb 180 dk 12,600 miez 12 gb 390 dk 26,100 mitandao yote,,,,, wadau Kuna jamaa anajiita special bandle tz yuko Instagram,,, naona anazo bando kwa bei ya kawaida Sana kama Kuna mdau aliyewahi kununua anitonye kabda sijapigwa
 
Mkuu kwanini sijakusingizia wewe?
Na nimchafue yeye ili nipate faida gani?
Nimekuwa nikisoma 1 na 2 za wadau jinsi MWL.RCT anavyo wasaidia katika masuala ya ununuzi wa bidhaa mtandaoni si chini ya miaka miwili 3 hivi.

Vuta subra kidogo mkuu ili naye mhusika aje hapa tuusikilize utetezi wake lakini pia atufahamishe hali ya mabadiliko ya janga la Kovid19 na chanjo zake kwa Ulaya, Asia, na America wamefikia wapi, na lini wanatarajia kufungua milango rasmi kwa ajili biashara hiyo manunuzi ya bidhaa mtandaoni.


Baadaye tutawa-tag na wakuu wengine nao watoe yao ya moyoni.
 
Wewe unamjibia kama nani wake?
 
Mkuu MWL.RCT nafikiri ungemjibu mkuu Ikena kuliko kukaa kimya kwa maana tuhuma kama hizi zinaweza kukuharibia brand name yako na biashara yako pia.


Mema 99 ya mtu huharibiwa na neno 1 tu, Mema yote husahaurika na kukumbukwa baya 1 tu ulilotenda iwe ni la kweli au la kutuhumiwa tu.
 
Mkuu mimi sina sababu ya kumchafua, nilichoongea ni ukweli mtupu, ushahidi upo.
Vinginevyo ningekuchafua hata wewe kwa tuhuma yeyote ya kutunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…