Tahadhari kurasa bandia ya gmail.com

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Google Team <MessageID671001899JJB@secure.com> reply-t<img class="yiv1066723885" id="yiv1066723885upi" name="upi" height="16px" width="16px">MessageID671001899JJB@secure.com
Dear Email Client,
We detected an unsuccessful login attempt from an unfamiliar location. For the security of your account, kindly Re-Login Below
www.gmail.com -
Ukiclick Hiyo www.gmail.com inakupeleka Gmail: Email from Google Ambayo ni kurasa bandia ya gmail.com unaweza kuibiwa taarifa zako ukiingiza taarifa zako hapo uwe makini mtumie na mwenzako .
The Google Team


ANGALIA USICLICK KUFUNGUA WWW.GMAIL.COM UKIPATA UJUMBE KAMA HUU KWA SABABU UTAKUPELEKA KWENYE KURASA BANDIA YA GMAIL NA UTAIBIWA TAARIFA ZAKO ENDAPO UTAJARIBU KUINGIZA TAARIFA ZAKO
 
SHY, ahsante kwa taarifa yako.... nilikumbana na huu mkasa jana, bahata nzuri ni kuwa nilikuwa nimeweka namba yangu ya simu kwenye A/C yangu ya gmail, walivyo jaribu kubadilisha password nikapata msg kwenye simu na hapo nikafanya mpago waharaka kubadilisha pswd yangu,na gmail walinipigia simu kunipa code ya ku-reset password....Gmail wanautaratibu mzuri sana kuliko mitandao mingine ya huduma hii.


l
 
yaani watu wanatakiwa kuwa makini .

kuna website niliona mdau mmoja kaitoa kwenye subforum ya kazi . ( https://www.jamiiforums.com/nafasi-...reer-opportunities-in-the-banking-sector.html ) Benki ya kimataifa. But nadhani kuna website za aina hii nyingi tu wajanja wanatumia kukusanya data za watu.

  • Ukiangalia website home page hakuna sehemu ya contact information ya Simu, hakuna Physical adress ilipo ofisi.
  • kuna sehemu wanasema "Send CV and Cover letter to: advansbanktanzania@gmail.com" hii sio issue lakini inatia shaka benki inayjiita ya kimataifa kweli itumie email account ya gmail au yahoo. Sasa ukituma CV ............
 
Kabla hujaingiza maelezo yako binafsi mfano maelezo kutoka katika kadi ya benk au akaunti au neno la siri; hakikisha kuwa website uliyopo inaanza na HTTPS:// na sio HTTP://

Mfano wa websites hizo ni:

https://www.paypal.com/tz

Welcome - PayPal


Tofauti kati ya HTTP:// na HTTPS:// ilielezwa kwa urefu wiki iliyopita, angalia posts zilizopita katika forum ya science and technology hapa JF.

:welcome:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…