Tahadhari: Kuwekuwa na wimbi za link za video za Ngono Facebook, ukibonyeza tu video zinapakuliwa kupitia ukurasa wako

Naziona sana. Bt kwa kuwa naelewa sijathubutu kuzifungua.
 
Naona mitandao mingi mikubwa inadumbukia huko mwanzilishi akiwa mzee wa X elon
 
Wewe unafikiri sisi hatuzioni hizo video? Tunaziona sana sema inatakiwa uzipite tu bila kuziclick ,ukiclick tu imekula kwako.

Halafu kwenye setting kuna kudisable mtu asiweze kupost kwenye wall yako.

Mimi nimeweka hata kupost kwangu nimeweka only me incase fb imeupload kitu bila mimi kujua si unajua mambo ya touch screen.
 
Kabisa Mm link niliifungua ila waripoleta option ya kuingiza password na namba za simu roho ikasita nikaacha. ikabidi nitumie accout nyingine fake nione itatokea nin ile naweka tu tayri nakuta imejipost
Pole.
 
Exactly.... inabidi tuwape somo maana wahanga ni wengi
 
Msaada mkubwa sana huu kwa wengi,.. shukrani sana [emoji120]
 
Nadhani kinachotokea ni uhuni unaofanywa na vijana wachache wakitqnzania na mbinu wanayotumia ni kwenda kwenye account ya mtu yeyote wanamtag, hivo kupelekea marafiki zake wote na marafiki wa marafiki kujikuta wameona huo uchafu, nime unfriend na ku-follow marafiki wengi sana.
Mi nadhani kuna haja ya kulinda account zetu na kutoruhusu watu kututag.
 

umetisha sana
 
Aisee wadau siku za hivi karibuni kwenye mtandao wa Facebook kila ukiingia unakutana na mapicha machafu ya ngono, mara ya kwanza yalianza mdogo mdogo lakini kadiri siku zinavyo enda ndo inavyo zidi ,yaani sasa hivi ukifungua fb kati ya post 10 basi post nne ni za hayo mapicha.

Kiufupi yananikera sana na nimesha shindwa namna ya uyaondoa,je hili tatizo lipo kwangu tu au na wengine linawakumba na mmelitatuaje?
 
Privacy settings, ignore tags na only me.
 
Mzee wangu mtandao ya kijamii inakuletea kitu unachokiwa akili kwako yaan searching mashine yako inaipa taarfa Searching mashine ya hyo mitandao.

Huwez letewa kitu ambacho hukifatilii na kukipenda.
Hujui ulichokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…