Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Yaani waingize daladala kwenye mwendokasi? We are not serious!Waondoe ukiritimba, warugusu ushindani kwenye routes za mwendokasi na daladal ziwepo.
Umaskini wa watanganyika ni furaha ya wachumia matumbo wa CCM.Last week ndugu yangu aliumia mgongo kwa kusukumwa akipanda Mwendokasi Kariakoo . Nilitoka Mwanza kwenda kumsalimia kisha nikaenda kujionea mazingira yaliyopelekea yeye kuumia.
Naomba niseme tu kwamba kwa hali ilivyo kituo cha msimbazi na Gerezani sitashangaa kukatokea kifo.
Kwa namna watoto wanavyosukumwa na jinsi abiria wanavyogombania magari tutapata maafa.
Niwaombe viongozi wa Mwendokasi na viongozi wa serikali, itasikitisha sana kujitokeza kuomboleza vifo vya wanafunzi katika kituo cha Msimbazi, Kivukoni,Gerezani, DIT,Fire, Korogwe na Kimara. Naandika just kutoa taadhari nikitambua sikio la kufa alisikii dawa
1. Utaratibu ule ulifanikiwa hapo awali wakati ulinzi ulikuwa ukisimamiwa na SUMA JKT, baada ya kubadilisha na kuweka kampuni binafsi ya ulinzi wanashindwa kudhibiti abiria kupanga foleni.Kwanini wananchi msipange foleni? Kuna kipindi pale kivukoni nilikuwa napanda kwa foleni, siku hizi imekuaje?
Hoja yako isikilizwe na mamlaka husika na hatua zichukuliwe haraka iwezekanavyo.Last week ndugu yangu aliumia mgongo kwa kusukumwa akipanda Mwendokasi Kariakoo. Nilitoka Mwanza kwenda kumsalimia kisha nikaenda kujionea mazingira yaliyopelekea yeye kuumia.
Naomba niseme tu kwamba kwa hali ilivyo kituo cha Msimbazi na Gerezani sitashangaa kukatokea kifo.
Kwa namna watoto wanavyosukumwa na jinsi abiria wanavyogombania magari tutapata maafa.
Niwaombe viongozi wa Mwendokasi na viongozi wa serikali, itasikitisha sana kujitokeza kuomboleza vifo vya wanafunzi katika kituo cha Msimbazi, Kivukoni,Gerezani, DIT,Fire, Korogwe na Kimara. Naandika just kutoa taadhari nikitambua sikio la kufa alisikii dawa
Kivukoni kola siku wapanda mwendokasi pale utaratibu wa foleni upo vile vile na milango unaofunguliwa ni mmoja tu ila kunakuwa na foleni mbili mmoja ya watu waotaka kukaa mwenye kiti hao huwa wanaanza kuingia foleni ya pili ni wenuye haraka waosimamaKwanini wananchi msipange foleni? Kuna kipindi pale kivukoni nilikuwa napanda kwa foleni, siku hizi imekuaje?
Mabasi yanaachana kwa Interval hadi ya Dakika 20 wakati mwingine.. Ni ngumu kuambia watu wapange foleni wakati mtoa huduma hana consistency na hazingatii muda.Kwanini wananchi msipange foleni? Kuna kipindi pale kivukoni nilikuwa napanda kwa foleni, siku hizi imekuaje?
Dar watu wake hawajastaarabika kwa kweli, wao kila kitu ni kugombania tu! Halafu hawa jamaa wa mwendokasi nao wangekuwa wanapishanisha mabasi hata dakika 10 ingekuwa afadhali. Sasa mtu unakaa kituoni mpaka nusu saa hujaona gari!Mabasi yanaachana kwa Interval hadi ya Dakika 20 wakati mwingine.. Ni ngumu kuambia watu wapange foleni wakati mtoa huduma hana consistency na hazingatii muda.
Imebaki Abiria kugombania na kugombana tu.
Hadi sasa haieleweki majukumu ya askari wa kwenye Mwendokasi ni yapi. Huwa nawaona wanazubaa tu!Kwanini wananchi msipange foleni? Kuna kipindi pale kivukoni nilikuwa napanda kwa foleni, siku hizi imekuaje?