Mbinu nyingine ya zamani, hasa kwa wasfiri wa masafa marefu , ni tenga au kikapu kilichojazwa matofali au mawe. TAHADHARI!!
Kama unaendesha Gari mida ya Usiku, na ghafla ukaona Mayai (Eggs) yamerushwa na kupiga kwenye KiOO cha Gari yako cha mbele, tafadhari sana USISIMAME, Usiwashe WIPER na wala usimwage MAJI kwenye KIOO chako cha mbele, sababu Mayai na Maji hubadilika kuwa maziwa na kufanya kitendo hicho utazuia kabisa uwezo wako kuona MBELE kiasi cha kukulazimu kusimama na kusababisha KUVAMIWA na MAJAMBAZI. Na Majambazi wakishakuvamia sihitaji kukueleza nini kinatokeaga…. Mstue mwanzako ni moja ya Mbinu mpya zitumikazo na WEZI.
🔴 TAHADHARI!!
Kama unaendesha Gari mida ya Usiku, na ghafla ukaona Mayai (Eggs) yamerushwa na kupiga kwenye KiOO cha Gari yako cha mbele, tafadhari sana USISIMAME, Usiwashe WIPER na wala usimwage MAJI kwenye KIOO chako cha mbele, sababu Mayai na Maji hubadilika kuwa maziwa na kufanya kitendo hicho utazuia kabisa uwezo wako kuona MBELE kiasi cha kukulazimu kusimama na kusababisha KUVAMIWA na MAJAMBAZI. Na Majambazi wakishakuvamia sihitaji kukueleza nini kinatokeaga . Mstue mwanzako ni moja ya Mbinu mpya zitumikazo na WEZI.
asante ila ni mbinu ya zaman sana iliwah kunitokea bahat nilikuwa na mguu wa kuku ukanisevu.
Aisee kwa hiyo ukiwa na mguu wa kuku mayai yanaogopa kiungo cha mzazi wao na hayapasuki au inakuwaje??!!
Aisee kwa hiyo ukiwa na mguu wa kuku mayai yanaogopa kiungo cha mzazi wao na hayapasuki au inakuwaje??!!
Maswali mengine???
Hovyoooooo!!!! lakini umenichekesha.
Hii mada tayari ipo hapa Jamvini kitambo tu mkuu!!