itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 893 Reaction score 1,739 Aug 14, 2022 #1 Kwa watumiaji wa barabara ya Kilosa - Dumila ni muhimu kuwa makini hasa wakati wa usiku maeneo ya KITETE, maana kuna magari yanayobeba miwa yanapaki barabarani bila Alama zenye kuakisi. Kinga ni bora kuliko tiba
Kwa watumiaji wa barabara ya Kilosa - Dumila ni muhimu kuwa makini hasa wakati wa usiku maeneo ya KITETE, maana kuna magari yanayobeba miwa yanapaki barabarani bila Alama zenye kuakisi. Kinga ni bora kuliko tiba
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Aug 14, 2022 #2 Kitete, msowero,mvumi,gongoni Dah viwanja vyangu hivyo... Anyway hao wanaopaki magari yanayobeba miwa naona kama kichwan hawako sawa Ova
Kitete, msowero,mvumi,gongoni Dah viwanja vyangu hivyo... Anyway hao wanaopaki magari yanayobeba miwa naona kama kichwan hawako sawa Ova
Kisikimpingo Senior Member Joined May 23, 2022 Posts 104 Reaction score 99 Aug 14, 2022 #3 mrangi said: Kitete, msowero,mvumi,gongoni Dah viwanja vyangu hivyo... Anyway hao wanaopaki magari yanayobeba miwa naona kama kichwan hawako sawa Ova Click to expand... Wanafanana na magari yao..yana..sura mbaya, bodi ndio usiseme
mrangi said: Kitete, msowero,mvumi,gongoni Dah viwanja vyangu hivyo... Anyway hao wanaopaki magari yanayobeba miwa naona kama kichwan hawako sawa Ova Click to expand... Wanafanana na magari yao..yana..sura mbaya, bodi ndio usiseme
Kisikimpingo Senior Member Joined May 23, 2022 Posts 104 Reaction score 99 Aug 14, 2022 #4 Dumila kwa wajanja., Full kipupwe
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Aug 14, 2022 #5 Kilosa wachawi sana aisee, natamani hata serikali iingilie kati.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Aug 15, 2022 #6 Pendael24 said: Kilosa wachawi sana aisee, natamani hata serikali iingilie kati. Click to expand... Ndiyo maana hapaendelei eeenh
Pendael24 said: Kilosa wachawi sana aisee, natamani hata serikali iingilie kati. Click to expand... Ndiyo maana hapaendelei eeenh
Nguva Jike JF-Expert Member Joined Jan 22, 2018 Posts 1,226 Reaction score 1,757 Aug 15, 2022 #7 Caution