Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Wapinzani wa Simba wamekua wakiumia sana Kwa mafanikio yenu katika michuano ya Kimataifa.
Wameumia sana kutolewa hatua ya makundi.
Wameumia sana Kwa Simba kufuzu kuingia robo fainali.
Wapo kati Yao wanaomini kua Simba ndio waliohujumu ili wao wasifuzu.
Wanaona wivu kua huenda Simba ikaingia nusu fainali,
Na Wana wasiwasi kua,iliingia nusu fainali fainali haitakua shida Kwa Simba kufika fainali.
Hofu ya wivu ni kwamba kama Simba ikaingia fainali pengine inaweza kuja na kombe.
Hofu hii ni kubwa sana .
Kwa hiyo mioyoni mwao wanachoweza kufikiri ni kuihujumu Simba ili isivuke robo fainali.
Hapa Simba inatakiwa ijipange kukabiliana na hujuma toka kwa mpinzani wao wa ndani wa jadi Kwa kua atakua akishiriliana na wapinzani wao wageni watakaokua wanakuja kushindana na Simba katika michuano hii ya shirikisho kwa mwaka huu 2025.
Adui yako mwombee njaa, mafanikio yenu ni mateso kwao, wanaamini wao Wana timu nzuri kuliko Simba, wanashangaa Simba inajenga timu, lakini inafanya vizuri kwa muda mfupi.
Simba ijiandae kwa hujuma.