Tahadhari kwa single parents wote

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Tahadhari hii ni kwa single parents wa kike na wa kiume na si kwa single fathers tu au single mothers tu. Tuwe waangalifu na watu wanaotoa misaada kwa familia, wengi hutumia mapungufu kwa faida zao.

Yalimtokea shost akiwa kama career woman, alijikuta baby father hana mpango nae, aliamua kupambana na hali yake. Alipata mtoto wa kiume mzuri mwenye afya njema. Shost anaishi kwenye flats, amepambana tangu mtoto akiwa mdogo, mshahara wa dada, ada ya nursery, na vitu vingine.

Mlango unaotazamana na flat yake alihami mkaka akiwa single. Ile kukutanga kwenye corridor kila siku wanasalimiana mwisho mtoto amemzoea uncle. Ikawa anakwenda kuangalia mpira kwa uncle, mara birthday uncle amenunua zawadi, mtoto amefika miaka saba.

Uncle akawa anamcheka kabisa unakaa na wanawake utakuwa na akili za kike, ukizingatia nyumbani kwa shost ni yeye na house girl. Mtoto akawa anataka kukaa zaidi na uncle mwanaume mwenzake. Kumbe bwana uncle anaanza kumfundisha mtoto michezo mibaya, alianza kukaa bila nguo mbele ya mtoto na anamwambia usiogope. Mwisho akaaza kumwekea gay porn movies na akawa anamwambia na yeye amnyonye.

Ni Mungu tu, siku moja mtoto akamuuliza mama yake mama, kumbe ukiliamsha dude unatoa mziwa? Mama kushtuka umeona wapi? Baada ya kuulizwa sana mtoto anadai nimemuona uncle.
Ujirani uliishia hapo, mama aliripot police, ingawa jamaa alihonga sana kesi ilizimwa lakini hakuwa tena na ukaribu na mtoto yule.
 
Washenzi wengi sana duniani, Aisee!! mpe pole.Ila huyo jamaa sio wa kuachwa hivi hivi, ataendelea kuaribu popote atakapokuwa.
 
Duuuuh hiyo siku mtoto wangu ananiambia hivyo wala sitaripoti kwanza... Hilo varangati nitakalolianzisha baada ya kumzimisha ndio naenda polisi kumfungulia mashtaka... Kilain tu apone baada ya kumlambisha mwanangu uchafu wake? Tutagawana majengo ye mochwariii kapona sana icu mie jela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejisikia vibaya kwa kweli!pumb.vuuuu ankoli huyo hana adabu kabisa
 
Inasikitisha sana aiseee....
Lakini Nimejifunza jambo kubwa sana
 
Mh! mapigo ya moyo yamehamia utosini, mungu wangu dunia imeangamia
 
Duuh! Watu wa hii dunia wana kazi kwel

young kilimanjaro
 
Hivi kumbe wenye watoto ni single parents tu wanaohitaji malezi? Kiufupi mtoto yoyote hata angekuwa na wazazi aote akifundishwa na tabia mbaya sio vyema
 
Hiyo si kwa single parents tu, hata kwa double parents yaweza tokea, inategemea na mazingira.
 
Hiyo si kwa single parents tu, hata kwa double parents yaweza tokea, inategemea na mazingira.
Ninaelewa mkuu lakini single parents wako more vulnerable pale mtu anapoona mapungufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…