Kwa upande wangu hasa katika kipindi hiki tukielekea katika maadalizi ya katiba mpya ningeomba vyombo vya habari viandike au vitoe taqarifa sahihi na sio kupotosha watu kwani kwasasa imeonekana vinatoa taarifa zinazoonekana ni uchochezi wa watu hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi kwa ujumla.Na wananchi pia wasishabikie vyama wakasahau lengo halisi kwani lengo ni kufanya malekebisho ya katiba na sio malekebisho ya chama ni hayo tu
by
PCZZO
by
PCZZO