bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Tanzania ina makabila mengi yenye tamaduni tofauti. Katika kungamua hizi tofauti tamaduni za wachaga zinawafanya wanakuwa kwenye hatari kubwa kutokana na coronavirus. Tamaduni hizo ni kama ifuatavyo;
KWENDA KIJIJINI. hii ndo risk kubwa watu kutoka mjini kupeleka corona vijijini
KUWA NA NYUMBA KIJIJINI. Wengi wa wachaga wana nyumba za kuishi huko vijijini hivyo watu kutoka mjini kwenda kuishi huko kwa nyumba zao na kueneza gonjwa.
UWEPO JUMUIYA ZA KATOLIKI. roma ipo moshi jumuiya zinafwatwa kwelikweli hivyo mkusanyiko hivyo kuenea kwa gonjwa
WAZEE WAPO VIJIJINI. Wengi waliopo vijijini ni wazee hivyo hatari kubwa zaidi
Kutokana na hatari hizo yabidi kuwekwa utaratibu wa self karantini kwa siku 14 kwa mtu yeyote anayetoka mjini. Pia kuwekwa check point kupima joto kwa wote wanaoingia mkoa huu.