Tahadhari kwa wadada wenzangu mnaoanza vyuo Oktoba

nadiegirlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
479
Reaction score
671
makontena mapya
new era
sura mpya
mnasubiriwa kwa hamu na mabaharia wa vyuo wenye magetto mitaani hata wale wafanyakazi karibu na vyuo wanawasubiri kwa hamu kubwa sana
kuweni makini mabinti usingle mama huanzia hapa kwa baadhi,kuachishwa chuo na kupata maumivu makali ya mapenzi kuweni makini sana.
NAWAPENDA
 
Tulia wewe... Unatuharibia mitego..

Chuo ndio sehemu wanayotakiwa wapate elimu ya kila kitu hadi mahusiano.

Waache waje hivi vitu haviepukiki... Ni ukijaribu kuvikwepa utapoteza nguvu kuubwa na maisha yatakuendea kombo
 
wewe acha unaa.
 
Wanakuelewa sasa?? Wapeni mikopo kwa wakati kuwapunguzia risk zisizo za ulazima.
 
Usingle mama 😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉
 
Madiwani we uliwahi kuwaza mwanachuo naje kwa mta Nadie kwa mtazamo wako je ni kwanini yatokee ni njaa,tamaa, msukuma toka kwa wanaume au marafiki au malezi ya hovyo kwa dada zetu
 
Tulia wewe... Unatuharibia mitego..
Chuo ndio sehemu wanayotakiwa wapate elimu ya kila kitu hadi mahusiano.
Waache waje hivi vitu haviepukiki... Ni ukijaribu kuvikwepa utapoteza nguvu kuubwa na maisha yatakuendea kombo
nyie hii elimu mnaizidisha kwa kweli
 
Kwa wanachuo wote wanaotarajia kuja moshi,..Mimi ni wakala wa kujitegemea kuwapokea stand na kuwapeleka mpaka Chuo husika, vyuo vyote, wale wa mwenge university, kcmc, ushirika,mweka, Stefano. .ni wema wangu tu...
 
Dadangu Nadie, siku hizi wanajaribu wanachokatazwa.
 
Madiwani we uliwahi kuwaza mwanachuo naje kwa mta
Nadie kwa mtazamo wako je ni kwanini yatokee ni njaa,tamaa, msukuma toka kwa wanaume au marafiki au malezi ya hovyo kwa dada zetu
ni vyote mkuu sasa hapa naongea na wale ambao ni good girls waendelee kujiheshimu wakienda huko vyuoni
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…