NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Naaam nimepita kwenye vilinge vingi vya wakamaria kila mkamaria anaamini simba anakufa mbele ya Azam.
Hiyo ni ndoto ya mchana kweupeee amka mkamaria kabla hujajikojolea, kiufupi ni hivi Azam anakufa goli zaidi ya mbili.
Naandika Kama mwana michezo na siandiki Kama shabiki wa upande wowote, mkamaria mwenzangu Kama unampa Azam stake pesa ambayo hutojututia.
Leo utapigwa mpira mzuri wazee wa makolo aka kinyume nyume fc tayari wamekwisha jifunga msuli kuhakikisha furaha inarudi msimbazi baada ya vipigo mfululizo toka kwa raja Casablanca na horoya.
My take Azam leo anakufa mchana kweupe mkamaria usijichanganye kuweka pesa yako ya Kodi baada ya gemu ukaanza kutukana watu.