Tahadhari kwa wakamaria dhidi ya mchezo wa simba na Azam fc

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Naaam nimepita kwenye vilinge vingi vya wakamaria kila mkamaria anaamini simba anakufa mbele ya Azam.

Hiyo ni ndoto ya mchana kweupeee amka mkamaria kabla hujajikojolea, kiufupi ni hivi Azam anakufa goli zaidi ya mbili.

Naandika Kama mwana michezo na siandiki Kama shabiki wa upande wowote, mkamaria mwenzangu Kama unampa Azam stake pesa ambayo hutojututia.

Leo utapigwa mpira mzuri wazee wa makolo aka kinyume nyume fc tayari wamekwisha jifunga msuli kuhakikisha furaha inarudi msimbazi baada ya vipigo mfululizo toka kwa raja Casablanca na horoya.

My take Azam leo anakufa mchana kweupe mkamaria usijichanganye kuweka pesa yako ya Kodi baada ya gemu ukaanza kutukana watu.
 
Acha kupangia watu matumizi ya ela zao. Hebu weka hata mkeka mmoja tu uliowahi kula hata milion Moja tu ili huu ushauri wako tuufanyie kazi
 
🤣🤣🤣
 
Acha kupangia watu matumizi ya ela zao. Hebu weka hata mkeka mmoja tu uliowahi kula hata milion Moja tu ili huu ushauri wako tuufanyie kazi
Hakuna aliyekupangia weka Kodi yako ya nyumba saa tatu ulete mrejesho
 
Makampuni ya kubet yamempa Smba nafasi kubwa ya kushinda mchezo. Mzani umezidi sana kwa Simba kushinda mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…