Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Mamlaka ya michezo Tanzania inapenda kuwatahadharisha wakazi wa maeneo ya bunju na msimbazi wajiandae kukabiliana na maafa yanayotarajiwa kutokea hapo kesho yatakayosababishwa na kimbunga cha YANGA,tukiwa kama serikali tunaomba wananchi wote kwa jumla kuandaa rambirambi na misaada kadhaa ili kuwafariji wenzetu mara baada ya mauti kuwafika mida ya saa kumi kesho,vikosi vya kusaidia wahanga azam,Lyon vimeshafika eneo la tukio tayari kwa kutoa msaada,ningependa kuwapa pole in advance wenzetu wa hapahapa fc,asanteni sana.