Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Mkuu ukinionea Sembo mwambie anahitajika,maana kashaanza kukimbia Jukwaani.Mamlaka ya michezo Tanzania inapenda kuwatahadharisha wakazi wa maeneo ya bunju na msimbazi wajiandae kukabiliana na maafa yanayotarajiwa kutokea hapo kesho yatakayosababishwa na kimbunga cha YANGA,tukiwa kama serikali tunaomba wananchi wote kwa jumla kuandaa rambirambi na misaada kadhaa ili kuwafariji wenzetu mara baada ya mauti kuwafika mida ya saa kumi kesho,vikosi vya kusaidia wahanga azam,Lyon vimeshafika eneo la tukio tayari kwa kutoa msaada,ningependa kuwapa pole in advance wenzetu wa hapahapa fc,asanteni sana.
Sembo ghafla amekuwa adimu sijui kakumbwa na masaibu gani!Mkuu ukinionea Sembo mwambie anahitajika,maana kashaanza kukimbia Jukwaani.
Muoga sana yule mkuuMkuu ukinionea Sembo mwambie anahitajika,maana kashaanza kukimbia Jukwaani.
Sembo anachungulia kwa mbaaaali,kucheza na yanga yapasa unywe kwanza diclopa kabla ya kuangalia hiyo mechi.Sembo ghafla amekuwa adimu sijui kakumbwa na masaibu gani!
Mkuu kwani na wewe ni miongoni mwa waathirika watarajiwa hapo saa kumi?mkuu weka akiba ya maneno
Mjiandae kwa kipigo!Mkuu kwani na wewe ni miongoni mwa waathirika watarajiwa hapo saa kumi?
Hahahaha tutafungwa hata na Serengeti boys sio hao watu wa poriniMjiandae kwa kipigo!
Stend waliua wiki iliyopita leo tunafanya mazishi taifa
Anae himili mikikimikiki ya jangwani ni ngamia simba haweziMjiandae kwa kipigo!
Stend waliua wiki iliyopita leo tunafanya mazishi taifa
Wanajua ubishi tuAnae himili mikikimikiki ya jangwani ni ngamia simba hawezi