Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Jeshi la polisi lina mapungufu mengi ambayo sina haja ya kuyataja. Upelelezi huwa unakwenda taratibu lalakini wahalifu watakamatwa tu.
Sasa kwa wewe mpumbavu uliyejihusisha / unayepanga kujihisisha na ujinga huu unaoendelea wa kuiba na kuteka watoto nikwambie kuwa utafikiwa tu.
Tena hata mlango wa mahakama hautouona, utapelekwa chemba utawataja wenzako wote kisha utafanyiwa appointment na Mwenyezi Mungu ili akakusamehe vizuri hukohuko in-person. Yaani ni 'pyu pyu' kisha wanasema "umejirusha toka kwenye gari yao"
Acheni ujinga huo mara moja!