Ningependa kuwapa tahadhari walimu watarajiwa kuna watu wanajifanya wanafanya kazi wizara ya elimu na wengine tamisemi hao watu wanajifanya wanaweza kuwasaidia watu kuwapangia vituo vya kazi sehemu unayoipenda na kukutaka uwape pesa mfano kuna dada mmoja anaitwa rebeca ni miongoni mwa matapeli hao hivyo nafanya utaratibu nipate picha yake ili niwawekee hapa jf ameshawaliza marafiki zangu wengi tu kwahiyo chukueni tahadhari mapema,