TAHADHARI kwa wana ChitChat wote

Status
Not open for further replies.
Mkuu Invisible onyo lako limekuja kwa wakati muafaka kwani siku za karibuni kuna members kama wawili waliumbuliwa mchana kweupe na mods wakabaki na IDs za awali.

La mwisho ni hate posts! Mtu humjui naye hakujui anapost hate posts!
Tumewachoka!!!

mkuu ujue binadamu tuna njia nyingi za ku attract attention,wengine wanatu provoke makusudi ili tujue wapo.
 
Asante sana Invisible maana kejeli na matusi juu yetu yalikithiri na hiyo ni kutokana na hizo id mbilimbili!
Bila shaka hili onyo litarudisha chit-chat kwenye hadhi yake!

Asante sana walikuwa wanakera sana!
 
Last edited by a moderator:
Aaaah wapi utaweza? Njoo uswahilini upate moja moto moja baridi weekend yako ianze vizuri ama unatumiaga za bukubuku


W/end hii nnajisikia kupiga watu walau 20 ban ha ha ha,,, wacha nianze kupasha...

:fencing:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…