Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Oct 24, 2021 #21 Danny Massawe said: ningekusikiliza leo yasingenikuta yani haiwezekani kutoa wala kuweka ela 22bet kwa sasa, na haijulikani tatizo litaisha lini Click to expand... Duh nina mkeka wangu kwa hawa watu unasubiri game moja tu ina maana nikishinda sitaweza kuvuta kimango changu?
Danny Massawe said: ningekusikiliza leo yasingenikuta yani haiwezekani kutoa wala kuweka ela 22bet kwa sasa, na haijulikani tatizo litaisha lini Click to expand... Duh nina mkeka wangu kwa hawa watu unasubiri game moja tu ina maana nikishinda sitaweza kuvuta kimango changu?
Dr Msweden JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 2,629 Reaction score 9,530 Oct 24, 2021 #22 Chaliifrancisco said: Duh nina mkeka wangu kwa hawa watu unasubiri game moja tu ina maana nikishinda sitaweza kuvuta kimango changu? Click to expand... Sahau hiyo pesa utakuja kuipata baada ya mwezi au usiipate kabisa
Chaliifrancisco said: Duh nina mkeka wangu kwa hawa watu unasubiri game moja tu ina maana nikishinda sitaweza kuvuta kimango changu? Click to expand... Sahau hiyo pesa utakuja kuipata baada ya mwezi au usiipate kabisa
Danny Massawe JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,297 Reaction score 758 Oct 26, 2021 #23 naona wamerejesha mobile payment
Danny Massawe JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,297 Reaction score 758 Mar 31, 2022 #24 tatizo la kudraw pesa limerudi, Watumiaji muwe makini
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Mar 31, 2022 #25 Danny Massawe said: tatizo la kudraw pesa limerudi, Watumiaji muwe makini Click to expand... Fafanua tatizo lipo wapi, nini kimekutokea na unapata ujumbe gani ili utusaidie
Danny Massawe said: tatizo la kudraw pesa limerudi, Watumiaji muwe makini Click to expand... Fafanua tatizo lipo wapi, nini kimekutokea na unapata ujumbe gani ili utusaidie