Tahadhari kwa Wanaume: Vipodozi vya kuchubua ngozi vinapunguza nguvu za kiume

Tahadhari kwa Wanaume: Vipodozi vya kuchubua ngozi vinapunguza nguvu za kiume

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Hii ni tahadhari kwa wanaume.

Inasemekana kuwa vipodozi vya kujichubua wanaotumia wanaume kama clairmen, Dodo etc vinapunguza nguvu za kiume hadi kuwa gunia la kunde kabisa!

NB: Msiseme hamjaambiwa!
 
Acha watumie tu, wakiishiwa watabadili gia angani na kuwa kwenye list ya Konki Master Oil Chafu.

Dume zima unapojichubua, unatafuta nini sasa?
 
kama umewaona wanaojichubua jua hao ni wakiume na si wanaume
 
Na kwanini wanaume na ndevu zao wakae kujichubua kama sio ndo mambo anayoyakataaa konki master hayo
 
Back
Top Bottom