Muuza simu used JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 4,393 Reaction score 7,074 Nov 24, 2018 #1 Hii ni tahadhari kwa wanaume. Inasemekana kuwa vipodozi vya kujichubua wanaotumia wanaume kama clairmen, Dodo etc vinapunguza nguvu za kiume hadi kuwa gunia la kunde kabisa! NB: Msiseme hamjaambiwa!
Hii ni tahadhari kwa wanaume. Inasemekana kuwa vipodozi vya kujichubua wanaotumia wanaume kama clairmen, Dodo etc vinapunguza nguvu za kiume hadi kuwa gunia la kunde kabisa! NB: Msiseme hamjaambiwa!
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Nov 24, 2018 #2 Watumiaji wamekusikia.
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,016 Reaction score 13,780 Nov 24, 2018 #3 Acha watumie tu, wakiishiwa watabadili gia angani na kuwa kwenye list ya Konki Master Oil Chafu. Dume zima unapojichubua, unatafuta nini sasa?
Acha watumie tu, wakiishiwa watabadili gia angani na kuwa kwenye list ya Konki Master Oil Chafu. Dume zima unapojichubua, unatafuta nini sasa?
Muuza simu used JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 4,393 Reaction score 7,074 Nov 24, 2018 Thread starter #4 SK2016 said: Acha watumie tu, wakiishiwa watabadili gia angani na kuwa kwenye list ya Konki Master Oil Chafu. Dume zima unapojichubua, unatafuta nini sasa? Click to expand... [emoji23] [emoji23]
SK2016 said: Acha watumie tu, wakiishiwa watabadili gia angani na kuwa kwenye list ya Konki Master Oil Chafu. Dume zima unapojichubua, unatafuta nini sasa? Click to expand... [emoji23] [emoji23]
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Nov 24, 2018 #5 kama umewaona wanaojichubua jua hao ni wakiume na si wanaume
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Nov 24, 2018 #6 [emoji23][emoji23]
MLA PANYA SWANGA JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 5,184 Reaction score 5,435 Nov 25, 2018 #7 Duuh wanaume kujichubua tena? Laaana.
lito bebe JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 277 Reaction score 358 Nov 25, 2018 #8 Na kwanini wanaume na ndevu zao wakae kujichubua kama sio ndo mambo anayoyakataaa konki master hayo