Tahadhari kwa wanaume wa Dar wanaohamia Dodoma

Mtimbo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
1,392
Reaction score
797
Habari wadau, wala nisiwachoshe rejeeni kichwa habari hapo juu, nawatahadharisha zile
Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata,
Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa,
Mambo yenu ya ushirikina na utapeli na wizi wa vifaa vyetu vya magari,
Sijui tabia zenu za kufanya birthday cjui vigodoro na singeli,
Kuulizana maswali ya kijinga kijinga cjui uko insta?fb!?asap!?snapchart?
Sijui vitaulo na tabia za kunukia nukia kama watoto wa kike,
Tabia za kuja na kutupandishia kodi za nyumba mkisha fika hapa,
Fitna, sifa za kijinga, kukata kata viuno hadharani, na ushoga kula madawa ya kulevya cjui mnaita ngada cjui punda nini, kutoa msaada kidogo au kazi ndogo mnadai pesa,
Kuendesha magari spidi mitaani huku mmewasha taa kubwa mchana kama mnawinda cjui jumapili baada ya kwenda kuabudu tunawaona barabarani, mnakimbia cjui ni jogging cjui nn, kupiga piga makelele hasa nyakati za usiku, kuja na vyakula vyenu vya ajabu cjui pweza,
Mambo mambo yenu ya maandamano cjui takataka gani cjui,
Kuchukua wake za watu na kutuaribia ndg zetu wa vyuoni na kuwapiga dada zetu picha za uchi na kupiga piga cjui mnaita selfie vyooni, makaburini, misibani, maiti, majeruhi ajalini,
Ubishi ubishi usio na tija kugomea maagizo halali ya viongozi wa serikali,

TAFADHALI MSITULETEE MIKOSI YENU HUKU HAYO MAMBO YENU YAISHIE HAPO KWA MATIASI AU KILUVYA SISI HUKU HATUTAKI VURUGU VINGINEVYO MTARUDI MMOJA MMOJA
 
Waandalie vipeperushi, ambao hawapo JF wapelekewe
 
Umetulenga wanaume unafahamu vizuri kitakachokukuta, tena tulio wengi tutatangulia wenyewe tutawaacha wake zetu watufuate tukiwa tumeisha settle, katika kipindi hicho cha mpito hakikisha dada zenu wanafuata maelekezo ya viongozi wao wa kiimani maana kutakua na majaribu ya kufa mtu, na kama una mke legelege huna chako, na kama ulikuwa humfikishi mkeo aendako wanakuja wasiojisikia kinyaa kwenda kunako chumvi.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wanaume wa dar ni janga hahahaha umesahau tabia yao ya kuomba omba mizizi ya kuongeza libido
 
wew mtoa mada nakuonea huruma...

hao wanaume wa dar wakitia maguu hapo dodoma naisi wew ndo utakua wakwanza kuchukuliwa demu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…