Tahadhari kwa wanaume

Sijawahi kugegeda
 
Kaka ww na brave kumshinda lipumb "shikamoo bro"
 
Wewe bikira ni mkosi kukutana NAyo ,Mwanamke bikra 27 yrs si watu wataishia kuwa single mpaka kufa,,We ungeuliza Wangapi Waliowa Wamewakuta Bkra wake zao unaweza Kuta Ni 9℅ tu ndo bkra tena wengine Wa simiyu wanaowa mtoto
 
Ndyo maaaana vikao vya usuruishi haviishi
 
ivi mwanaume bikra humu yupo kweli? ata km anq kispoku ajitokeze nimzwadie maombi kwa ALLAH ampe miaka buku....
 
Kwanza vijana walio wengi hata hawaijui Bikira, hata akioa mke mwenye bikira hajui!
 
hakuna kitu kibaya kama kuathirika kisaikolojia. chochote unachokiwaza na kukiamini kinaweza kutokea katika maisha yako. mkeo kukukimbia hiyo yaweza kutokea hata kama ulimtoa bikira wewe. ukileta ujinga utaachwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…