nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Natolea Mfano:
Chukulia unaishi na mumeo, alafu maybe kakake kaomba aishi hapo nyumbani for six months (labda mwajiweza na nafasi ni kubwa ya nyumba)... Ok basi kabla hajaondoka lazima aje kwa wewe shemeji yake na akuage, akuulize kama kuna kitu unahitaji, maybe akupe na pesa kua ongezea kwenye matumizi, atakukuta jikoni or sebuleni moving something - haraka saana anakukatisha kua hapana Shem let me do it, unanyosha anakuja na kukueleza lete za mdogo wangu nikusaidie, unapika unataka kwenda chota maji nje anakukatisha "hapana let me", unatoka na gari kwenda shopping anakuambia "subiri shem hili gari mbona sijaona mkecheck oil" nakadhalika..... Hivo MJ1 ni vitu vidogo saana but vya weigh kuliko tu lile jina kua ni Mme: of coz mara nyingi akina mama unaweza usifanye kitu but ukampenda kabisa kuliko mumeo....
MJ1 sijui ndo nimekoroga zaidi??
Mwisho wa siku what matters ni mumeo anapenda nini. Kuna wale wanaume (nawaita gubu style) hali chakula chochote mpaka wife apike.
Sisi wengine waume zetu ukikaa muda mrefu jikoni unanuniwa; they want to spend quality time with us.
Hence akili za mbayuwayu changanya na zako.
Lakini kama alivyosema mbu cheating ni cheating tu; wa kucheat ata cheat no matter what. Enjoy your marriage lives guys stop worrying too much!
Hapo kwenye mfano wa huyo kaka umenifanya niogope kwamba huyu kaka/shemeji anaweza kuleta mageuzi/mapinduzi. Hata sisi wanaume inabidi tujiangalie sana. Si wanawake tu
Shukran kwa mfano mzuri
unajua kuna kitu kimoja umejaaliwa kuwa nacho, labda mwenyewe hujui tu............... una utambuzi wa hali ya juu sana..
yaani nanufaika sana na michango yako humu jf...............
ahsante kwa kutupa ilmu ya bure..................
This post has been the first post in JF kunitoa machozi.
Ubarikiwe AshaDii.
Hapa ndio ule usemi wa "Abiria chunga mzigo wako" una-applyNiliona nikiweka both sides of the coin itaeleweka vizuri zaidi.... Thanks for your constant acknowledgement Sherriff......
Dear MJ1 hii ni applicable kwa woote, nawashangaa saana wanaume ambao wapo comfortable na kuacha ulinzi wa wapenzi wao (ladies) kwa marafiki in the name ya kum-chunga.... Anakua amemkabidhi fisi bucha, just take note sio woote na kuna exceptions.
Na kweli Sherrif nimekuwa na NIMEYAONA. Kwa maisha niliyoishi, nina imani kuwa kwa maisha niliyoishi MJ1 mie, nineyaona na ninatakiwa niwe NIMEJIFUNZA otherwise nitastahili kuitwa SIKIO LA KUFA.Usilie dada, ndio maisha hayo...tumeambiwa tulivokuwa watoto "kua uyaone"
Usilie dada, ndio maisha hayo...tumeambiwa tulivokuwa watoto "kua uyaone"
khaaaaa,....huyu shemeji nae vipi?
For the first time it has made me wish ningekua nawe hapo nione machozi yako.... Hayo machozi yako yaniambie story the story behind.... One thing i am sure ni bittersweet, ningetamani nikuone na nikuulize "MJ1 you have a great heart but you seem to be always scared of Love... Why?" BUT then the way your eyes are now... the extent ya machozi yako sasa, the expression in your face would have told me everything.... MJ1 daima kumbatia Kupenda dearest.... Daima! Mradi usipende kujinga....
I am humbled dear na NASHUKURU you have told me for you would have kept quiet. Thank you.
mwanaume mzini mzinzi tu, hata umbebe mgongoni haisaidi atawagonga mahousegirls!
Hapo kwenye RED kunanifanya niwaze mengi...........Is this applicable kwa pande zote mbili? Kuwa wanaume nao wanapaswa kuangalia kuwa wanatufunga kamba na kuwa hawazilegezi?? Au hii ni kwa wanawake tu?? Au ndo mie kwa kuwa ni mke basi natakiwa niwa ndo mfunga kamba, niongeze mafundo na kuhakikisha haikatiki, hailegei ayiiiiiii ah mie jamani menopouse inakuja vibaya!
Nilidhani ni mume wangu tu ndo ana hiyo tabia; kweli napata tabu sana kufanya kazi za jikoni kwa kuwa he always want me by his side.
kabisa bana,....yaani mimi nimekaa sebuleni, yeye anapoteza zaidi ya saa nzima jikoni, anapika nini kisichowiva?
Darling..........and what about fukuto ulipatalo moyoni?! Kwa sababu tatizo si janaba peke yake, ni lile jeraha alokuachia baada ya hapo! ayiiii jamani kina baba please tuoneeni huruma jamani ah, kuwapenda isiwe kosa jamani ah!hhhahahhaha, ati menopause? acha visa bana..
mwj1....mke/mume ukimchunga sana atakuletea vituko mpaka uone june/july...(pepo za kusi na kaskazi)
Muhimu kujipenda mwenyewe, kwa umri wetu huu ukijitia kuubeba wazimu wa mwenzio unatafuta kujizeesha
tu.
chukulia mfano umelala chumbani na mumeo, ati saa nane za usiku unamsikia anajisogeza pembeni ya kitanda,
kisha huyoo ananyata.......anafungua mlango wa chumba anatoka... unamsubiria weee, kumbe mwenzio kaenda chumba cha housegirl kupiga mbizi...utamlaumu? hakikisha akirudi mwambie akakoge janaba lake kwanza,
huna haja ya kugombana nae bana..."never argue with a fool" chizi sio lazima avae mfuko ya rambo kichwani.
vuta shuka ulale.
Huo ni ukweli mchungu!Kumbe mkoje?? Housegal ni mwanamke kama alivyo mwanamke mwingine. Sasa kama kinachowapeleka kwa hao wanawake wengine ni tamaa, why mlete justification kwa housegal?? Semeni tu kwamba housegal mnakuwa mmesogezewa karibu alafu hana gharama saana kama huko kwingine (though baada ya mchezo kunoga ndo mnaamua kugaramia)!!! Narudia tena, {mianaume ndivyo mlivyo}
wee binti mi siko hivyo!
Umesomeka Honey.
Hujalikoroga mpenzi. Umefafanua vizuri nimekuelewa. Aksante ayiii mie hizi makitu bana ah zinanikatisha tamaa ya kupenda kwa kweli ayii
...For the first time it has made me wish ningekua nawe hapo nione machozi yako.... Hayo machozi yako yaniambie story the story behind.... One thing i am sure ni bittersweet, ningetamani nikuone na nikuulize "MJ1 you have a great heart but you seem to be always scared of Love... Why?" BUT then the way your eyes are now... the extent ya machozi yako sasa, the expression in your face would have told me everything.... MJ1 daima kumbatia Kupenda dearest.... Daima! Mradi usipende kujinga....
I am humbled dear na NASHUKURU you have told me for you would have kept quiet. Thank you.
Nilidhani ni mume wangu tu ndo ana hiyo tabia; kweli napata tabu sana kufanya kazi za jikoni kwa kuwa he always want me by his side.
kabisa bana,....yaani mimi nimekaa sebuleni, yeye anapoteza zaidi ya saa nzima jikoni, anapika nini kisichowiva?
Darling..........and what about fukuto ulipatalo moyoni?! Kwa sababu tatizo si janaba peke yake, ni lile jeraha alokuachia baada ya hapo! ayiiii jamani kina baba please tuoneeni huruma jamani ah, kuwapenda isiwe kosa jamani ah!
Naomba niwaache kwelye hii mada, am not myself. samahanini!
...Umeona ee? mwj1 aonekana kama ni mtu aliye delay grievances zake kwa muda mrefu, na sasa reality ina take place.
lia mama, it's ok to cry, na wala kulia sio alama ya udhaifu...acha machozi yakuchuruzike...umejaaliwa machozi yapoze machungu ya moyo...
...nyumba kubwa, nitajie mlo unaopikwa zaidi ya saa nzima kiasi cha wewe kung'ang'ana jikoni badala ya kuketi pembeni
yangu kwenye sofa. Labda usingizie ati ulikuwa busy kuwasha jiko la mkaa, na mkaa wenyewe mbichi...otherwise, lazima mjiwekee muda wa kuandaa mlo na kupika, na muda wa kukaa sebuleni na waume zenu.
Binafsi nachukia kukaa peke yangu sebuleni...aaarrrgghhh!