Tahadhari kwa wanawake walioolewa


ayiii mkwe una vijineno weye.............................
 
wala usiogope mwanangu........... nakujua`wewe, unajua kuchagua wala huwezi kupata kicheche..............

Baba yangu I wish, I just wish kwa kuwa ninahisi kwa kipande hiki sina bahatika ila tu kinachonishangaza ni kuwa ninapofikia nimekinai na kumwaga manyanga ndo mtu anakuja na hadith za ni shetani tu alinipitia ayiiiiiiiiiiiii ngoja kwanza niwe peke yangu kwa muda.
 

sio kwamba naku-Nag mwanangu, wala sina maana hiyo..........bali umenikumbusha haka kawimbo...........lol

"Musichana wa suraa nzuri , ni kitu gani kinakufanya usiolewe
Elimu unayo ya kutosha, hata ng'ambo ukaenda ukarudi
Tara tata tara tata tarata tarattraaaaaaaaaaa………………. X 2
Musichana wa urembo kama weweee, uonyesheee mapenzi kwa vijana
Ukionyesha majivuno kwa vijanaaa utazeeka ukiwa nyumbani kwenu
Ooo baby
Miaka yaenda mbio sanaaa na sura yako nayo ikichujuka
Ooo baby
Miaka yaenda mbio sanaaa na sura yako nayo ikichujuka

Tala talaaa tili li liiiiiiiiii Tala talaaa tili li liiiiiiiiii x 3"
 

lol, reality check mpenzi...inapofikia hapo, you definately need that mydear.
 
huo ni ukweli mtupu, yani unakuta mtu anamuachia housegirl hadi kutandika kitanda anacholalia na mumewe, kumtengea maji bafuni, baba kama huwa anachelelwa kurudi house girl ndo ataamka kutanga chakula, na unaweza kuta mwenye mume kalala na hata kama hajalala ametulia tu anaangalia tv, au anatengeneza kucha, hata hashtuki kama mumewe ameingia hata kumpokea kwa busu na kumwambia pole na kazi mume wangu hakuna, ndo kwanza anajifanya hana habari, wengine hadi boxer za mume na nguo zake za ndani anampa housegirl, halafu mume akitembea na beki tatu analalamika, mwanaume afanyaje sasa mana katika hali hiyo housegirl ndo mke anafanya kazi zote unazotakiwa wewe kuzifanya.
 

wewe endelea kusema ni sababu za ki pumbavu. unalinganisha binti yangu na House girl??/ vinafana hivyo? huo ni ukweli kuwa wanawake huharibu nyumba zao wenyewe. tena ni kwa kujifanya wajuaji na wanalinganisha visivyo linganishika. wakati unaendelea kuita ni sababu za kupuuzi za wanaume ndo zinawafanya watembee na wafanyakazi, ndoa zenu zitaendelea kuteketea. kiburi na ujuaji havijengi kamweeeeeeeee!!!!!!!!. unachokiita upuuzi mwenzio ndo anaona muhim.

huwezi kuhamisha majukumu yako kama mama kwa mfanyakazi. majukumu yako hayakaimishwi, kukaimisha ni kujidhalilisha na kutengeneza mwanzo wa mwisho. hili ya kumzuia mfanyakazi juu ya maisha yake na wanaume wengine, ni kweli ni vizuri kumwongoza mfanyakazi , lakini unatakiwa kufahamu kuwa mpaka kaja kwako kufanya kazi manake anamaamuzi yake, nalo halifananishwi na controls tunazo zitoa kwa watoto wetu wa kuwazaa wenyewe
 
Kwa hiyo unataka kusema house girl anayepewa kazi nyingi kama ulizoorozesha hapo; inabidi apewe bonus ya SEX? aongezewe mshahara? au? Kuna uhusiano gani kati ya hizo kazi na kutembea na mwenye nyumba? Let me log off. JF Great thinkers you made my day today.

 


Umeongea vizuri saana hii post na kuja haribu hapo....
 
Lol to me kwa kweli THEY did not deserve me, nor did they deserve my love. Urembo na sura yangu isiwe sababu.
 
Lol to me kwa kweli THEY did not deserve me, nor did they deserve my love. Urembo na sura yangu isiwe sababu.

Quote from MOCRANA.............

"WHETHER YOU THINK YOU CAN, OR THINK YOU CANT YOU ARE RIGHT"
 

Nyumba Kubwa....... yaani wewe umekuwa kama M-Conservative............... lol
 

Sina hata haja ya kuchunguza mpendwa nina mifano halisi kabisa. Unamkuta mdada anajituma haswaaa mpaka unajiuliza mara mbili mbili duuh hivi mbona hata nusu yake simfikii huyu mwanamke mwenzangu kwa jinsi anavyojitoa kwa mumewe(kipenzi cha moyo). Matokeo yake matunda anayoyapata kutoka kwa huyo the so called mume anatembea na HG, anatembea na mdogo mtu,anatembea na shoga yake.......sasa unajiuliza lipi haswa analotaka kufanyiwa???? Kaka zetu sijui mnakaugonjwa khaa! Jamani hizi ndume hazina jemaaaaa loooh mimi nasikia hasira kuongelea.
 
Teteeni vyovyote vile, ila to me......those pressumptions of mtambuzi are rebbuted!! Natamani sana ningempa huyu mama jirani yangu achangie kitu coz ye ni mhanga wa hii kitu pamoja na uwajibikaji wake wote!! Mliofanikiwa kuwabana waume zenu hongereni lakini pia shukuruni wala msijisifu kuwakamata bali shukuruni kuwa hawana mbio za kuwakimbia. Narudia tena kusema hiyo mianaume ndivyo ilivyo, msiwape excuses!! Crap!!!!!
 
Umenifurahisha imebidi niunge mkono hoja japo niliaga.

Yaani hawa wanajifanya ka watoto wadogo maana mwanangu alipokuwa mdogo nilikuwa nakagua nyumba nzima kuhakikisha hakuna vitu vya hatari asije akala au akajikata.

Sasa wanaume wa hivi hata maofisini tuwaombee wapewe ma secretary wa kiume; na masecretary wa kiume walivyo wachache mbona tuna kazi; mwe!

 

Tena kazi na usumbufu pia tunao kwa hawa viumbe!! Kwa jinsi wanavozidi kutoa visingizio hata wakiwekewa masecretary wa kiume ipo siku mafataki nao watarise na kudemand muache kuzaa watoto wa kike coz ni warembo na wanawatamanisha!! Nalo litakubalika?? Wasitutanie!!!! Kuna mijanaume mpaka leo inasarandia vibinti vidogo dogo kwa madai kuwa hawajawahi kubikiri au walibahatika ila wanakimbilia vichuchu konzi, then what is this?? Kuna wengine (my uncle type) wanathubutu kulazimisha mapenzi na wakaamwana wao, sasa hawa nao watarise na kudai katiba yao ya KIZURI KULA NA NDUGUYO, sio?? Narudia tena, tamaa ya uzinzi, na hiyo MIANAUME NDIVYO ILIVYO. No excuses, no justifications! Crap!!!!!!!
 

Mh....................!!!!!!
 
jamani kinamama,kwa nini hamuelewi vitu rahisi tu? Mdogo wa mke mbona ni halali kabisa kuvinjari naye? Hebu niambieni wa mama wa mmu,unapokuwa na mimba ya miezi minane,hoi,unajifungua,kunyonyesha,busy mume hutaki hata kumuona,katika mazingira hayo si bora umsogezee mdogo wako amhifadhi kuliko atange na njia mwisho akuletee maradhi,au?
 
Kweli mjadala ulikuwa bub-kubwa, na wachangiaji mmechangia hasa, ila tu cha MUHIMU nnachoweza kusema ni kuwa wanawake hatuko wavivu kiasi hicho, mpaka tunawaruhusu mahouse girl kutandika vitanda vyetu si kweli, ni mategemeo yangu kuwa hakuna mwanamke anayependa mumewe atembee na house girl hivyo kila mmoja yuko makini kuhusu Mahabuba wake. Sema tu hayo ni madhaifu ya baadhi ya wanaume.
 

Umenichanganya na hiki kisa whos who?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…