Tahadhari kwa wanawake walioolewa


Wengi wenu mkituambiaga mmechoka kinachofuata ni kinyume na hapo kwenye bold!
 
Wengi wenu mkituambiaga mmechoka kinachofuata ni kinyume na hapo kwenye bold!

Wewe huwa hauchoki? Kwanini usimuelewe tu mwenzako kama kweli amechoka?? Unajiangalia mwenyewe tu sio? Na kama unaona kuchoka umekuwa ni wimbo wa kila siku ambao mkeo anautumia, kwa nini usimchane live?
 
Wengi wenu mkituambiaga mmechoka kinachofuata ni kinyume na hapo kwenye bold!
k sitakunyima ukiona unanyimwa ujue ashajua kama unapengine unapata ili akuonyeshe kwamba ni upuuzi anaamua kuibana yake,utumie unayoitaka coz yake siumeona haitoshi
 

watu wengi wenye mtazamo finyu huwa wanafikiri kama alivyoandika mtambuzi hapo juu, na watu wa aina hii ndio wale wakikutwa na kosa hukimbilia kusema 'shetani kanipitia'. Mwanamume kumpenda housegirl ipo sana lakini ni tamaa tu kama zingine za kupenda bar maid, kupenda mke w amtu ofisini, kumpenda mama lishe n.k. hii yote kwa ujumla wake ukosefu wa 'self discipline' kwa mwanamume husika. huduma zilizotajwa kutolewa kuwa ndio chanzo cha uchafuu huu zingeweza kutolewa na dada, binti, shangazi, mama mdogo, shemeji nk wa mume. na si rahisi usikie eti mwanamume baada ya kupata huduma nzuri kutoka kwa binti yake amemtongoza akatembea nae au hata kutoka kwa dadake, sana sana atatumia kigezo hicho cha huduma nzuri kumtongoza shemejie au housegirl, sasa hapa chanzo ni huduma au tamaa na tabia chafu ya mbwa???!!! wanawake tuna tafuta maisha /maendeleo na tuna ajira na shughuli zetu sambamba na wanaume, sasa kama unataka mwanamke aache kazi, biashara yake eti awahi kumpikia mume ili asimlale housegirl.... duh! binafsi sifanyi biashara hiyo akitaka amlale hata barabarani au sokoni shauri lao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…