Tahadhari kwa wapenda soka

Tahadhari kwa wapenda soka

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,851
Hii ni kuwataarifu wanaume wote duniani ya kwamba imebakia takribani miezi Tisa(9) kabla ya kuanza kombe LA dunia huko Urusi,hivyo basi chondechonde ukijichanganya ukampa mkeo/mchepuko mimba sisi wakati tunaburudika na mechi za kombe la dunia wewe utakua ukifua mabwende ya mavi ya mtoto ako.[emoji574]
 
Kwahyo unataka kupingana na aliyesema tufyatue tu
 
Wee jamaa vp...??kafanyiwe uchunguzi sio BURE BURE
 
Kwahiyo humpi mimba mkeo ukihofu ratiba zako za FIFA WC zitaharibika u Will be surprised mkeo akipata ujauzito wa jitu lisilojulika akasema ni wako kwahiyo mtoa tahadhari ukawa ndio wa kwanza kufua hayo mabwende Ya mavi ya kichanga
 
Mkuu usinilaani mm tafadhali.
 
Back
Top Bottom