JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Napenda kudecrale interest, Binafsi nilikuwa mmoja wa watumiaji wa hii mikopo, Kwa mkopo wa 83,000 ndani ya miezi mitatu iliyopita, marejesho yalikuwa ni 93,000
Nimekopa kiasi hiki mara tatu na kuilipa ndani ya muda wa mwezi mmoja on time pasipo kuvuka muda huo
Cha ajabu ni siku ya jana nikiwa na uhitaji wa kiasi hichohicho, huku Nikitarajia kurudisha kiasi kilekile nikijua riba ni ileile ya siku zote,
Nikafata procedure za siku zote, na kupewa mkopo, Baada ya Confirmation message kuingia na kuisoma kuwa napaswa kulipa Tsh 96,000! ndipo kuona ya kuwa marejesho yameongezeka kwa almost 36%!! Pasipo kumtaarifu mteja!
Hii sii sawa na Bot wanaangalia Uhuni wa nana hii huku mlaji wa mwisho (mteja) akiendelea kuumia
BOT wao pia kama waratibu wa hizi sekta za kifedha, wapo na ni kama wanaangalia tu huu uhuni wa namna hii unaofanywa na BIG FISH Kama tigo na wenzao wa mitandao ya kufanana na huo, Waache hizi double standards
Wanadiriki kufungia vikampuni vidogo vidogo mitandaoni ,na kuyaacha HAYA MADEGE MAKUBWA MAKUBWA KAUSHA DAMU!
Nikiri tu,nilikuwa mtumiaji wa mkopo huu umekuwa ukinisaidia changamoto ndogondogo niwapo safarini...
Nipende kuwatakia maisha mema na Kwaheri Tigo na NIVUSHE PLUS yao...
Nilikuwa mkopaji na mlipaji mzuri na kwa wakati...LAKINI KWA HILI!..MTANISAMEHE, SITAWALIPA!