fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
sawa muzeee..............habari zinazokuja kila wakati ni kwamba yanga inasajili wa kufa mtu,nawatahadharisha kuwa kusajili wachezaji wazuri,sio gerentii kuwa watacheza vizuri,wawe makini na wajifunze historia ya real madrid
Rostam katoa 2B..ila hataki ijulikanemi nawaza sijuw wanapata wapi hyo pesa ya usajili
Hiyo chini ya kapeti . Zinavuja za Ikulu.. Anatoa kama mfadhiili tu mwenye mapenzi na Yanga.. Vilio vya Zahera vimewagusaKama hataki ijulikane wewe umejuaje? Wanayanga kwa uongooo,pia azitoe kama nani mfadhili au mwekezaji?
Kwa taarifa yako anabaki Yondani,Fei Toto,Tshishimbi,Paul Godfrey na Gadiel Michael tu, wengine wote wapya.habari zinazokuja kila wakati ni kwamba yanga inasajili wa kufa mtu,nawatahadharisha kuwa kusajili wachezaji wazuri,sio gerentii kuwa watacheza vizuri,wawe makini na wajifunze historia ya real madrid
habari zinazokuja kila wakati ni kwamba yanga inasajili wa kufa mtu,nawatahadharisha kuwa kusajili wachezaji wazuri,sio gerentii kuwa watacheza vizuri,wawe makini na wajifunze historia ya real madrid
Kuweni makini na taarifa za usajili.......Binafsi sijamsikia kiongozi wa Yanga akitamba kuhusu suala la usajili...wanaofanya hivyo ni waandishi wa habari wa magazeti pamoja na mitandao...kumbuka habari za Yanga huvutia kuliko zile za Simba...huu ni wakati wa kuuza magazeti........Magazeti yanaitumia yanga kuwapata wateja/wasomaji...........