Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kwenye jamii za watu hapakosi viongozi wapenda misifa wasiojali kuthamini bidii na akili za wasaidizi wao, nimewiwa kutoa tahadhari kwa Paul Makonda a.k.a DAB Kolomije, imekuwa kama utamaduni viongozi wenye hulka za misifa misifa kuwasahau wabunifu na wachakata mawazo mazuri yanayopata vibes kwenye jamii na Taifa kwa ujumla wake.
Kwa hio Ndugu Makonda azingatie hilo akiitisha press aweke bayana chemichemi ya hilo wazo zuri and those guys wawe credited kwa namna stahiki na inayofaa na yenye tija.
Nawasilisha
Wadiz
Kwa hio Ndugu Makonda azingatie hilo akiitisha press aweke bayana chemichemi ya hilo wazo zuri and those guys wawe credited kwa namna stahiki na inayofaa na yenye tija.
Nawasilisha
Wadiz