Tahadhari Mpakani Tanzania, Rwanda Kuna Usumbufu Mkubwa

Chimo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2008
Posts
714
Reaction score
361
jamani Watanzania wenzangu mnaosafiri.au mliokuwa na mpango wa kuingia nchini Rwanda kwenye kipindi hiki, Chukuweni Tahadhari kubwa kuna Usumbufu na mateso ya hali ya juu.
 
Mkuu ungeeleza kwa undani zaidi. Ni changamoto gani ambazo zinapatikana hapo Mpakani?
 
jamani Watanzania wenzangu mnaosafiri.au mliokuwa na mpango wa kuingia nchini Rwanda kwenye kipindi hiki, Chukuweni Tahadhari kubwa kuna Usumbufu na mateso ya hali ya juu.

Hebu fafanua kwa undani zaidi usumbufu gani na mateso gani
 
Back
Top Bottom