jamani Watanzania wenzangu mnaosafiri.au mliokuwa na mpango wa kuingia nchini Rwanda kwenye kipindi hiki, Chukuweni Tahadhari kubwa kuna Usumbufu na mateso ya hali ya juu.