Kama unaomba kazi mahali nakushauri usiweke namba yako ya Tigo kwenye barua yako au CV kama namba ya mawasiliano utakosa kazi. Nimeshuhudia live jamaa watano wanasema hawakupigiwa simu kutaarifiwa kuhusu usaili. Lakini ukweli ni kuwa walipigiwa simu, ila wote simu zao zilikuwa zinasema hazipatikani. Wao wanaseme hawajahi kuzima simu, maana wanategemea kuitwa kwa usaili sehemu mbalimbali.
Hivi TCRA wansemaje kuhusu tabia ya Tigo/washirika wao kumtumia mtu meseji 20 kila siku kuhusu promosheni n.k.
Hivi TCRA wansemaje kuhusu tabia ya Tigo/washirika wao kumtumia mtu meseji 20 kila siku kuhusu promosheni n.k.