ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwa wale tunaosafiri sana huko maporini tujue kuwa Tembo akiwa amechokozwa au kapoteza mtoto wake anakuwa na hasira sana.
1. Tembo anakimbia sana kuliko binadamu, speed yake 40 km/hr
2. Tembo hategemei sana kuona yeye ananusa zaidi
3. Ukimuona Tembo kaa kimya
4. Uhai ni muhimu kuliko kilimo
5. Tembo hapendi pilipili