ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
So kujikinga na tembo tujipake πΆοΈπΆοΈπΆοΈnimefanya hitimisho!Kwa wale tunaosafiri Sana huko maporini tujue kuwa Tembo akiwa amechokozwa au kapoteza mtoto wake anakuwa na hasira sana.
1. Tembo anakimbia Sana kuliko binadamu, speed yake 80 km/hr
2. Tembo hategemei Sana kuona yeye ananusa zaidi
3. Ukimuona Tembo kaa kimya
4. Uhai NI muhimu kuliko kilimo
5. Tembo hapendi pilipili
Niko southern Huku Namtumbo/Tunduru nimemuona Tembo juzi juzi aisee tembo ni mkubwa kishenzuSo kujikinga na tembo tujipake [emoji2420][emoji2420][emoji2420]nimefanya hitimisho!
Uko wapi na kilikukuta nini??[emoji1][emoji16] hizi siyo mada zako
Tunaotembea porini tubebe pilipili.Kwa wale tunaosafiri Sana huko maporini tujue kuwa Tembo akiwa amechokozwa au kapoteza mtoto wake anakuwa na hasira sana.
1. Tembo anakimbia Sana kuliko binadamu, speed yake 80 km/hr
2. Tembo hategemei Sana kuona yeye ananusa zaidi
3. Ukimuona Tembo kaa kimya
4. Uhai NI muhimu kuliko kilimo
5. Tembo hapendi pilipili
Huu ndo ujuaji kwenye mambo ambayo hujui. Wakulima wengi tu wanachoma pilipili ili kuwakimbiza tembo wasikae karibu na maeneo yao maana wanaharibu mazao.tembo gani anaogopa pilipili, Harmonize?
Mboga hiyo...sasa hivi utasikia wamekula mahindi mara wamehamia Kula mpunga Malinyi!Niko southern Huku namtumbo/Tunduru nimemuona Tembo juzi juzi aisee tembo ni mkubwa kishenzu
Kwa hesabu za logic unapopanda mazao shambani zungushia pilipili pembeni kwa usalama1. Tembo anakimbia sana kuliko binadamu, speed yake 80 km/hr
2. Tembo hategemei sana kuona yeye ananusa zaidi
3. Ukimuona Tembo kaa kimya
4. Uhai ni muhimu kuliko kilimo
5. Tembo hapendi pilipili
Hizi television zinatudanganya sana tunaishia kuwaona wadogoNiko southern Huku Namtumbo/Tunduru nimemuona Tembo juzi juzi aisee tembo ni mkubwa kishenzu
Kamsifia Tembo kamnyea ukiona hivyo[emoji1787]So kujikinga na tembo tujipake [emoji2420][emoji2420][emoji2420]nimefanya hitimisho!
Uko wapi na kilikukuta nini??[emoji1][emoji16] hizi siyo mada zako
Aisee hii logic ni ya kujaribu maboga na pikipiki, tikiti na pilipili waweza Kula hasara international, unajikuta umekuwa case study World BankππKwa hesabu za logic unapopanda mazao shambani zungushia pilipili pembeni kwa usalama
Mtaalamu wetu je nikipanda matikiti na pilipili uamuzi wa tembo huwa vipi?
Sehemu nyingi za hizo wilaya ni mapitio ya tembo na wanyama wengine. "ushoroba"Niko southern Huku Namtumbo/Tunduru nimemuona Tembo juzi juzi aisee tembo ni mkubwa kishenzu
Ushamuona Mammoth weweee?! Ndege Joni bana!Niko southern Huku Namtumbo/Tunduru nimemuona Tembo juzi juzi aisee tembo ni mkubwa kishenzu
Tunaotembea porini tubebe pilipili.
Huu ndo ujuaji kwenye mambo ambayo hujui. Wakulima wengi tu wanachoma pilipili ili kuwakimbiza tembo wasikae karibu na maeneo yao maana wanaharibu mazao.
speed ya tembo 80 km/hr ? kama umekosea bahati mbaya lekebisha wakwetu.
Kwa wale tunaosafiri sana huko maporini tujue kuwa Tembo akiwa amechokozwa au kapoteza mtoto wake anakuwa na hasira sana.
1. Tembo anakimbia sana kuliko binadamu, speed yake 80 km/hr
2. Tembo hategemei sana kuona yeye ananusa zaidi
3. Ukimuona Tembo kaa kimya
4. Uhai ni muhimu kuliko kilimo
5. Tembo hapendi pilipili
πππ Me mwenyewe nimeshangaa aise.speed ya tembo 80 km/hr ? kama umekosea bahati mbaya lekebisha wakwetu.
Una miaka mingapi mjukuuNiko southern Huku Namtumbo/Tunduru nimemuona Tembo juzi juzi aisee tembo ni mkubwa kishenzu