Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuna nguvu za asili ambazo ni maji, upepo, na moto (jua).Wanaume wa dar mshaanza kujawa na kitete kisa upepo tu
Wanawaza venye wanashindia chips yai na mayonnaise, huo upepo unaweza wapeperushia bahariniWanaume wa Dar mshaanza kujawa na kitete kisa upepo tu
[emoji28][emoji28][emoji28]Wanaume wa Dar mshaanza kujawa na kitete kisa upepo tu
Tatizo tabiri za TMA ni kama ramliHapa lazima kuna nyumba zitabaki uchi kama kwrli huu upepo utakuja
Ila hii Jamii Forums bana kama upo karibu na mtu unaeza mzaba makofi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo kunduchi beach hapa, hakuna hata tawi linalotikisika.......labda huo upepo ni wa bluetooth.
Tena Ramli chinganishiTatizo tabiri za TMA ni kama ramli
Nikweli jana maeneo ya Ubungo ilinyesha mvua na upepo mchana sanaMikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani, Dar es Salaam, Visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba vinatarajiwa kukumbwa na upepo mkali wa kasi ya kilometa 40 kwa saa kwa muda wa siku nne mfululizo. kuanzia Januari 20 hadi 23 mwaka huu.
Utabiri uliotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA inaonesha kuwa upepo huo unaoipiga pwani ya bahari ya Hindi utaambatana na mawimbi makubwa ya bahari yanayoifikia urefu wa mita mbili.
Akitoa taarifa za utabiri huo, Mchambuzi wa Hali ya Hewa wa TMA Rose Senyagwa amesema, upepo huo utaathiri shughuli za usafirishaji katika sekta ya bahari na kuleta athari katika makazi ya watu yatakayofikiwa na hali hiyo.!
Ubungo nikweli kabisa mvua yenye upepo ilipita kali mchanaTena Ramli chinganishi
Hapana currently wapo vizuri tofauti na zamani,jana baadhi ya maeneo ya Ubungo miti imeanguka kwasababu ya mvua yenye upepoTatizo tabiri za TMA ni kama ramli