Tahadhari: Usikope BancABC, ni wababaishaji

Tahadhari: Usikope BancABC, ni wababaishaji

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Posts
3,127
Reaction score
3,062
Kama wewe ni mtumishi wa umma au mjasiriamali nakuasa usifikirie kukopa hiyo bank inayoitwa Bank ABC.

Wakati unakopa watakwambia utapata mkopo ndani ya masaa 48. Ukishajaza fomu utasubiri zaidi ya miezi miwili, kila siku ni ahadi kesho kesho.

Au hii benki imefirisika?
 
Tatizo hizi taasisi hata ukipeleka malalamiko BOT hakuna hatua zinazochukuliwa
 
Back
Top Bottom