Tahadhari: Usilipe malipo ya Serikali kwa simu, Malipo hayaendi kwa leo

Tahadhari: Usilipe malipo ya Serikali kwa simu, Malipo hayaendi kwa leo

Kama unalipa malipo ya serikali kwa leo, ni bora utumie bank kuliko mobile money, ukilipa unakatwa na malipo yako hayafiki taasisi inayo husika.
SIYO KWELI MALIPO YANAENDA MIMI NIMEFANYA MENGI TU NA YAMEENDA NA KAZI INAENDELEA KAMA KAWAIDA
 
SIYO KWELI MALIPO YANAENDA MIMI NIMEFANYA MENGI TU NA YAMEENDA NA KAZI INAENDELEA KAMA KAWAIDA
Labda kwa baadhi Ya Mitandao. Kwa Airtel nimetumia Haijakubali.

Na Idara husika haichoki kunikumbusha kuwalipa.
 
Hii huwa inatokea kama kuna ofisa ana-divert malipo ili yaingie kwenye akaunti yake.
 
Hii huwa inatokea kama kuna ofisa ana-divert malipo ili yaingie kwenye akaunti yake.
Siyo hivo ila intergration ya mobile ya mfumo wa serikali haujakaa vizuri.. serikali wapo slow sana inapo tokea issue.. Imagine wamekaa na fedha ya mtu for 3 days , TRA haijafika na mtu amekatwa.

Kwa sasa ukiwa inafanya malipo ya serikali hasa yenye amount kubwa ni bora utumie bank

Tatizo jingine ni kwamba risit za mobile money hazitambuliki . Bank hata kama fedha haijafika risit zao zinatambulika.

Mobile money tutumie kutimiana fedha tuu..
 
Jana nmelipia kutokea tigo, malipo ya serekali wamekata pesa, lakini malipo hayajakamilika nikalipia tena kwa simbank nikafanikiwa, ila mpaka sasa tigo awajarudisha pesa yangu
 
Back
Top Bottom