Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 582
Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha networking marketing.
Wengi wamelia na kusaga meno baada ya kutoa tsh 900,000. Na Wengine 580,000. Wameishia kutapeliwa hakuna cha bidhaa wala ajira. Wametelekezwa chakula na maradhi shida.
Wengi wa vijana wanao chukuliwa na kutapeliwa wanatoka family za hali ya chini sana. Unakuta wazazi wameuza mashamba wengine ng'ombe ili watoto wao wakapate ajira.
Mkoa wa Mwanza kuweni makini. Shirika hili lime jichimbia huko. Shirika hili limesajiliwa, na vibali vyao vina onyesha wana jishughulisha na masula ya tiba lishe. Makao makuu yao yana onyesha yapo mikocheni jijini Dar es salaam.
Vijana wanao chukuliwa ni kuanzia miaka 15 hadi 25. Wengi wamelia na kusaga meno.
Mkitaka ushahidi na ushuhuda, nina namba za simu za wahanga kadhaa. Nawaungaisha nao.
Pia soma: Shinyanga: DC Mtatiro aamuru Aliance Motion Global kufungwa kwa tuhuma za kukusanya vijana na kuwatapeli