Wachaga wa Rombo:
Kama wewe ni mtafutaji wa mali utapendwa sana. Lakini wewe ni dume la mbegu na jiandalee kufa mapema.
Stay tuned.
mmh nimecheka we bwana mwongoWajaluo:
Wademu wa kijaluo wanapenda mieleka. Ni sifa kwa mwanamke kuwa mgumu. Hivyo akija nyumbani atakuwa amevaa chupi saba na sketi tatu. Kuondoa sketi ni lazima utumie nguvu. Na kuondoa chupi vilevile. Hivyo ni lazima ujiandee na mashindano ya mieleka.
Stay tuned
Ngoja nichapie tu kuhusiana na makabila ya kitanzania. Kwanza nianze na wahehe. Wanawake wa kihehe wana hasira sana. Ukimuudhi anaweza kujinyonga.
Ukijaribu kupata uroda kabla ya ndoa, inabidi uwe mjanja wa kusoma. Ukimkaribisha nyumbani atakuja na Biblia. Na ukijaribu kupapasapapasa atakwambia "wewe endeleaga tu thi (ni) thambi (dhambi) thako (zako) mwenyewe".
Stay tuned na makabila mengine.
na thithi wapare na wachagga wa marangu jee?
Next
Duh, nimezaliwa na kukulia uheheni, sikuwahi kusikia hicho kitu kinaitwa sambi sako mwenyewe!!! nasikia haya, kwenye mitandao na kwa watani zetu kama vile wangoni. Ni sawa na tuhuma za kuwa wahehe ni wala mbwa. Tumeishi na babu zetu tangu enzi hizo hatukuwa kuona mbwa ametumika kama kitoweo. Kwa ujumla hizi ni statement ambazo zilianzishwa na watani wa makabila tu, hazina ukweli wowote. Na sidhani kama kumla demu wa kihehe ni rahisi kama unavyoweza kudhani. Nimekuwa na safari za kikazi maeneo mengi ya nchi, na ninafahamu jinsi ilivyo vigumu kumpata demu anayejiheshimu wa kulala naye guest ukiwa mkoa wa Iringa.
Kafanye research ya kutosha kabla ya kutoa hizi tuhuma.