umegusa upande mmoja,tuendelee na pande zingine zakumi ukiona tabu nenda kimkoa mkoa ili turahisishe
Hili linji likubwa sana lina mikoa mingi sana mbona umeurukia mkoa huo haraka? haya Za10
:focus:
Makabila mengi sana. Hila wanawake wa Tanga lazima uwe mvumilivu. Akirudi kwao kwenye shughuli, mpiga ngoma wa kijijini anakuzidi spidi.
Kwenye shughuli kama za harusi hivi, wakati wa usiku ni lazima upigwe mdumange. Mdumange ukikolea, mpiga ngoma anakatiza ngoma ghalfa na kupandisha mashetani huku akilia: nataka mavitu, nataka mavitu, nataka mavitu ....
Hili kulipoza shetani inabidi wachezaji wajitolee na baadaye ngoma inaendelea.
Tuendelee na pande za knjaro,arusha,na singida.Halafu Zakumi ungebalance gender ingekuwa poa sana
:nono::nono::nono::nono::yield:
Watoto wa kipare wafupi sana. Nasikia Nyerere alifanya ziara kule, basi wakaja kumsikiliza. Kabla ya kutoa hotuba yake akawaambia kaiteni wazazi wenu. Wapare wakajibu ni thithi baba zako ni thithi mama zao.
Pmweusi:
Kwikwikwi. Usiite ugoro. Hule unga asilia. Anyway, nilikuwa nawania wale waganga wa kienyeji waliojazana DSM.